VIDEO:Mama aeleza kwahuzuni kubwa Alivyozulumiwa na Diwani aliyetangaza kujiuzulu CHADEMA nakuhamia CCM..Play video usikie kilio cha mama huyu


Ngowi ajitetea

Katika Mahojiano na VOA TV News kwa njia ya Simu Ngowi amesema ' Ni harakati tu za Kuchafuana hakuna ukweli wowote' alisema Ngowi

Ngowi pia ameeleza kuwa yapo mengi yanayotengenezwa ili kumchafua huku akisisitiza kuwa yeye kama mtumishi Wa mungu ameamua kukaa kimya hadi pale wakati utakaposema.

0 Comments:

Post a Comment