ANGALIA YANAYOENDELEA ZIMBABWE WANANCHI WAJITOKEZA BARABARANI

WANANCHI wa Zimbabwe wameandamana katika Jiji la Harare wakishinikiza Rais, Robert Mugabe ajiuzulu.

Maandamano hayo yanaungwa mkono na wanajeshi na wanachama wa chama tawala wa Zanu-PF ambacho kinaongozwa na Mugabe.

Maveterani wa vita nao wanaunga mkono maandamano hayo wakimtaka Mugabe aachie madaraka.

Waandamanaji hao wameonekana wakiwakumbatia wanajeshi kuwapongeza kwa uamuzi wa kuchukuwa udhibiti wa nchi hiyo tangu jumatano.






0 Comments:

Post a Comment