Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe leo amepata mapokezi makubwa wakati akiwasili katika uwanja wa Unyakanya kata ya Siuyu,
jimbo la Singida Mashariki linaloongozwa na Tundu Lissu ambaye yupo Nairobi nchini Kenya anapopatiwa matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi 30 na watu wasiofahamika mchana wakati akiingia nyumbani kwake mjini Dodoma ambapo mpaka sasa hakuna aliyepatikana kuhusika na tukio hilo


0 Comments:
Post a Comment