Kampeni za uchaguzi wa Marudio zinaendelea ni habaritanzaniagracemacha.com &VOA TV News imefika Muriet Arusha mjini.
Baada ya ziara yetu ya Jimboni Arumeru Mashariki kukuletea updates zote za uchaguzi kutoka Arumeru kwenye mikutano ya kampeni za Chadema na vyama vingine vya siasa.
Leo ni zamu ya Arusha mjini ambapo Leo Kumefanyika mkutano wa kampeni maeneo ya FFU kwa mrombo ambapo Naibu Meya Viola Lazaro amemnadi Mgombea Wa Udiwani kata hiyo Simon Mollel.
Mgombea Udiwani kwenye kata hii ya Muriet Kwa tiketi ya Chadema Mh. Moses Mollel alielekeza nguvu ya Hotuba yake kwenye kero ya barabara na maji safi na salama.
Naibu Meya Viola Lazaro naye aliambatana viongozi wengine wa chama hicho kumuombea kura Mgombea huyo.


0 Comments:
Post a Comment