Polisi Mkoani Kilimanjaro imelazimika kutumia mabomu ya machozi kurahisisha mjumbe wa kamati kuu ya Chadema taifa Edward Lowassa kupita Lowassa alikuwa akielekea Kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi kwenye kata ya Pasua Relini Moshi Mjini kwena kumnadi Mgombea Udiwani kata hiyo.
Polisi wametumia zaidi ya mabomu 3 za machozi kuweza kuwatawanya Wananchi waliokuwa wameusonga msfara wa Mzee Lowassa.
Polisi wametumia zaidi ya mabomu 3 za machozi kuweza kuwatawanya Wananchi waliokuwa wameusonga msfara wa Mzee Lowassa.

0 Comments:
Post a Comment