BREAKING NEWS: CHADEMA Wamtambulisha Mgombea udiwani Muriet , Kampeni kuzinduliwa kesho

Chama hicho kimemtambulisha Mgombea wake wa Udiwani Kata ya Muriet Bw. Simon Moses Mollel ambaye ameahidi kuwa kipao mbele yake ya kwanza ni kuhakikisha wananchi wake wanapata uwezo wa kuwa na Uhuru wa mawazo.
Bw. Simon Moses Mollel Mgombea udiwani kata ya Muriet.
Aidha Bw. Simon ameahidi kuwatumikia wananchi kwa kuwahudumia kikamilifu huku akisisitiza kuwa yeye ndiye diwani pekee mwenye sifa ya kuwaongoza wakazi wa Muriet.

Zaidi na Zaidi unaweza kuplay hii video hapa chini 

0 Comments:

Post a Comment