BREAKING NEWS: Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Arusha mjini akamatwa na polisi.. Tumekuletea List ya majina ya viongozi na wanachama wa CHADEMA wanaoshikiliwa polisi


VOA TV News  & Habaritanzaniagracemacha.com imepata  Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Arusha mjini Kisanyage Innocent dakika chache kabla ya kuwekwa lockup.

Innocent Amesema yeye alifika Kituo kikuu cha Polisi Arusha kwa ajili ya kufuatilia sakata la vijana wa chama hicho waliokamatwa kufuatia vurugu iliyotokea Jana ambapo imedaiwa msafara wa CCM na CHADEMA. ulikutana na hivyo kupelekea vurugu ambayo pia ilipelekea kudaiwa kupigwa Mgombea wa CCM.

Baada ya kutokea vurugu hiyo walikamatwa vijana wa CHADEMA, pamoja gari la CHADEMA lilokuwa likitumika kwa Matangazo.

Hapa chini nimekuwekea list ya majina ya watu waliokamatwa na kushikiliwa polisi Leo , 

0 Comments:

Post a Comment