Mamia ya wakazi wa Muriet walifurika katika Viwanja vya Sojema katika kata ya Muriet kuwasikiliza viongozi wa CHADEMA pamoja na mgombea wa kata hiyo katika uchaguzi wa marudio unaofanyika baada ya Aliyekuwa Diwani wa kata Kupitia CHADEMA Bw. Credo kujiuzulu
Katika uchaguzi huu wa marudio CHADEMA Imemsimamisha Bw. Simon Mollel kuwania Kiti hicho cha udiwani Anayeonekana kuwa ushawishi Mkubwa kwa wana Muriet.

Katika uchaguzi wa marudio Muriet Chama cha mapinduzi CCM kimemsimamisha Mgombea wake Fransis Mbise , Chadema ikimsimamisha Simon Mollel huku ACT -Wazalendo Ikimsimamisha Mgombea wake Bw. Johnson Mahoma.
Viongozi wa ngazi za juu walioshiriki katika Uzinduzi wa kampeni hizo ni pamoja na Mbunge wa Arusha mjini Mh. Godbless Lema , Katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha Mh. Elias Mungure, Naibu meya wa jiji la Arusha Bi. Viola Lazaro na viongozi wengine ..
![]() |
| Naibu Meya wa Jiji la Arusha Viola Lazaro katika kampeni za CHADEMA Muriet |

Katika uchaguzi wa marudio Muriet Chama cha mapinduzi CCM kimemsimamisha Mgombea wake Fransis Mbise , Chadema ikimsimamisha Simon Mollel huku ACT -Wazalendo Ikimsimamisha Mgombea wake Bw. Johnson Mahoma.
Viongozi wa ngazi za juu walioshiriki katika Uzinduzi wa kampeni hizo ni pamoja na Mbunge wa Arusha mjini Mh. Godbless Lema , Katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha Mh. Elias Mungure, Naibu meya wa jiji la Arusha Bi. Viola Lazaro na viongozi wengine ..

0 Comments:
Post a Comment