BURUDANI: Ester Bulaya ajimwaga Jukwaani acheza na Maelfu ya Wananchi Arusha.

Mbunge wa Bunda mjini Leo Alihudhuria kwenye mkutano wa lamps nu za Chadema Ambureni Kwenye jimbo la uchaguzi Arumeru Mashariki.
Kama kawaida Ester ni Mtu wa Burudani sana akiwa Jukwaani watu hupenda kumtizama sasa Leo Kwenye kata ya Ambureni kulifanyika Mkutano wa Kampeni na Ester Bulaya alikuwa Miongoni mwa Watu wanaohutubu kabla hajaanza kuhutubia Bulaya alicheza vyakutosha tazama hapa.....

0 Comments:

Post a Comment