Leo mmoja wa watu waliohudumu hafla ya kukabidhi Hundi za Kibenki ya Tkaribani Millioni 605 Kwa Vikundi vya Vijana na kina mama Alikuwa Diwani wa Kata ya Themi Mh. Melance Kinabo.
![]() |
| Diwani wa Kata ya Themi Mh. Melance Kinabo akizungumza katika Ufunguzi wa Semina ya Mafunzo kwa Vikundi vya kijasiriamali vya Vijana na wanawake. |
Baada ya Hafla ya Ufunguzi wa Semina ya Vikundi vya kijasiriamali VOA TV News tukapata fursa ya kipekee ya kufanya mazungumzo na Mh. Diwani Melance Kinabo ambaye pia tukio hilo linafanyika kwenye kata yake.
Play hii video hapa chini Kuona Kitu Kinabo kaeleza ..



0 Comments:
Post a Comment