HANIFA RAMADHANI: Tunategemea vijana na wanawake wakazalishe..

Afisa Vijana Jiji la Arusha Hanifa Ramadhani amesema hayo Leo Katika ufunguzi wa Mafunzo ya Mafunzo ya Vikundi vya kijasiriamali inayoendeshwa na Halmashauri ya Jiji la Arusha kuwawezesha vijana na kina mama kukuza mitaji yao.

Video ya VOA TV News iko hapa chini Play.

0 Comments:

Post a Comment