DC Daqarro amesema hayo Leo wakati akifanya ufunguzi wa Semina ya Mafunzo kwa Vikundi vya kijasiriamali vya Wanawake na Vijana pamoja na Walemavu hafla iliyofanyika Arusha Schools hapa jijini Arusha.
DC Daqarro amesema wazazi wanapaswa kuwa na desturi ya kuwakagua watoto wao Mara kwa Mara kwa ni kumekuwa na kesi nyingi za ubakaji na kuingiliwa kinyume cha maumbile kwa watoto wengi wa shule za msingi na Sekondari.
Tazama Video hii toka VOA TV News umsikie DC Daqarro..

0 Comments:
Post a Comment