HABARI: Mgombea CCM Muriet Afanya mkutano wa Historia

Huu ulikuwa miongoni mwa mkutano ya Kampeni ya Bw. Francis Mbise kwenye kata ya Muriet Arusha jiji. 

Kwa mujibu wa ripoti zetu kadhaa huu mkutano umekuwa na ushawishi kuliko mkutano ya Bw. Mbise zilizotangulia na zilizofuatia kwenye kata ya Muriet. Play hii video hapa chini utazame maandamano yalivyokuwa.

Kutoka kwenye ripoti zetu ni kwamba mkutano huo umefanyika katika mtaa wa Mlimani kata ya Muriet.

0 Comments:

Post a Comment