HALIMA MDEE Asema Mgombea CCM Kata ya Makiba Arumeru Mashariki afungwe miaka 30 jela Kisa!? Play Hapa umsikie

Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa Halima Mdee na Mbunge wa Kawe Dar es Salaam Alikuwa mmoja wa watu wakubwa waliotikisa kwenye mkutano wa kampeni za CHADEMA kata ya Makiba Arumeru Mashariki kwa Joshua Nasari.

Sasa Play hapa nimekuwekea video fupi Halima Mdee akifafanua kuhusu Mgombea Udiwani kata ya Makiba CCM alivyovunja Sheria za nchi.

0 Comments:

Post a Comment