Katika Xclusive ya VOA TV News Mgombea wa kiti cha Udiwani Katika uchaguzi mdogo wa marudio Muriet Johnson Mahuma alibainisha hayo.
Mgombea huyo anayepeperusha bendera ya chama cha Upinzani Tanzania ACT-Wazalendo aliiambia VOA TV News kuwa kata yake inakabiliwa na kero ya maji na Umeme.
Bw. Mahuma ambaye pia anawania kiti hicho kwa Mara ya pili Mara ya kwanza 2015 amesema atahakikisha Maji safi na salama yanapatikana Muriet huku akiitaka kata hiyo kuwa mfano kwa kata zingine za Jiji la Arusha.
Nakuongeza kuwa hata viongozi wa Serikali huishi katika kata hiyo akiwemo Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh. Mrisho Gambo hivyo ingekuwa sababu ya kata hiyo kuwa katika nafasi nzuri kimaendeleo.
Hii video ina kila kitu cha kufahamh kuhusu kijana Mahiri Mh.Johnson Mahuma .

0 Comments:
Post a Comment