#UPDATESzaUCHAGUZI: CHADEMA wafanya mkutano wa Kampeni Arumeru Wananchi wachoma Bendera , MUNGURE: CCM siyo size yetu..'

Kutoka kwenye Mkutano wa Kampeni za chama cha Demkrasia na Maendeleo CHADEMA Hizo ni baadhi ya picha.

Uongozi wa CHADEMA ukiongozwa na Katibu wa Chama hicho mkoa ni Arusha Mh. Elias Mungure walitua Arumeru Magharibi ambapo kunafanyika Kampeni za uvhaguzi wa Marudio katika kata ya Musa. Uongozi wa Chama hicho ulikwenda kumnadi Mgombea Udiwani Eliud Lomon anayepeperusha Bendera ya Chama hicho kwenye kinyang'anyiro hicho cha Udiwani.
Aidha mkutano huo wa imekuwa tofauti na mikutano mengine iliyofanyika maeneo tofauti tofauti kwani wananchi kwenye hasira walilichoma bendera ya Chama cha mapinduzi CCM. 
Pamoja na kumnadi Mgombea wao Katibu wa CHADEMA Mkoa Mh. Elias Mungure Amesisitiza kuwa Chama hicho kitashinda uchaguzi siyo tu wa Marudio Bali hata mwaka 2020. "Tutashinda CCM siyo Size yetu..."

0 Comments:

Post a Comment