MBOWE -ANENA MAZITO AKIMNADI MGOMBEA UDIWANI DAR

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo,(CHADEMA),  Freeman Mbowe amezindua rasmi kampeni za uchaguzi mdogo wa marudio wa madiwani, katika kata ya Saranga Suka Kimara jijini Dar es salaam na kumnadi mgombea wa kata hiyo, Ephrahim Kinyafu bonyeza Hapo chini kusikia alichoeleza


0 Comments:

Post a Comment