MUNGURE: Tutashinda kwa Kishindo (Chaguzi ndogo za Marudio Nchini)

 Kama ilivyokawaida jukumu letu ni kuwa haupitwi na Habari yoyote inayotokea Mara tu inapotokea sasa Muda huu tumezipata Picha kadhaa kutoka kwenye Kampeni za CHADEMA Katika Kata ya Mororoni ambako Chama hicho kimefanya Mkutano wa Kampeni za kumnadi Mgombea wake.
 Katibu wa Chama hicho Mkoa wa Arusha Mh. Elias Mungure akasisitiza kuwa Chama hicho kitashinda katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kifuatia mwitikio Mkubwa wa wananchi katika mikutano ya kampeni za CHADEMA.
 "Kata ya Maroroni,Kijiji cha Migandini Kwenye Campaign Leo,Wananchi wamejitokeza kwa wingi Kuunga Chadema Mkono kwenye kura 26/11/2017.
  Kata hii ni kati ya kata wasaliti waliunga fedha mkono kuliko heshima ya wananchi.
  TUTASHINDA KWA KISHINDO.
     Chadema never give up to 2020" Elias Mungure




0 Comments:

Post a Comment