NDEGE ya kampuni ya Coastal Aviation imeanguka baada ya Kugonga mlima Empakai Ngorongoro, na kusababisha vifo vya watu 11 akiwemo rubani mmoja.
Habari za uhakika kutoka kwa wadau wa utalii,zinadai kuwa
Ajali hiyo imetokea leo mchana hii ikiwa ni ndege ya pili ya kampuni hiyo kuanguka ndani kipindi cha miezi miwili.
Hata hivyo ndege ya awali ilianguka kwenye Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ambapo watalii wawili na rubani mmoja waliojeruhiwa na kuwahishwa Nairobi nchini Kenya Kwa matibabu.
Majina ya wanaodaiwa kufariki kwenye ajali hiyo.
Juhudi za kumpata kamanda wa polisi mkoani Arusha, Charles Mkumbo zinaendelea tumejaribu kumpigia simu yake ya kiganjani inaita bila kupokelewa



0 Comments:
Post a Comment