#UPDATES: Mungure ailalamikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kuhusu Changamoto zinazokabili Mchakato wa uchaguzi wa Marudio Arumeru

Katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha Mh. Elias Mungure amefafanua kwa mapana jinsi uchaguzi huo ulivyokubikwa na changamoto lukuki .

Jitihada za kumtafuta Mkurugenzi wa Arusha DC ambaye ndiyo Msimamizi wa uchaguzi wa Meru ili kujibu tuhuma hizo Zimekwama baada ya Simu yake kutopokelewa.

Sikiliza hii audio hapa.

0 Comments:

Post a Comment