RATIBA MSIBANI KWA DK. JOEL BENDERA
1.
Mara baada ya kifungua kinywa (saa 1.30 hadi 2.00 asubuhi) nyumbani Sinza, itafuata misa hapo hapo nyumbani kuanzia saa 2.00 asubuhi hadi saa 3.00 asubuhi.
2.
Baada ya hapo, ndugu, jamaa na marafiki watakwenda Lugalo (kambi ya jeshi) ambako kutakuwa na misa fupi nyingine inayoanza saa 3.30 asubuhi mpaka saa 5.00 asubuhi, ikifuatiwa na shughuli ya kuaga mwili wa marehemu angalau mpaka saa 7 mchana.
3.
Safari ya kwenda Manundu, Korogwe mkoani Tanga itaanza mara baada ya shughuli ya kumuaga kocha na mkufunzi wa juu wa makocha wetu.
Msafara mzima unaotarajiwa kuondoka kesho Jumamosi, unatarajiwa kuwasili Korogwe jioni ya kesho kwa baraka za Mwenyezi Mungu.
Hii ni ratiba ya leo na kesho. Kwa matukio zaidi, tutazidi kufahamisha ikiwa ni pamoja na siku ya mazishi Jumapili huko Korogwe.
Alfred Lucas
MCO - TFF
0769 088 111

0 Comments:
Post a Comment