GOLUGWA: Hatutashiriki Uchaguzi wa Longido... Kisa? Play Hii Video

CHAMA cha Demkorasia na Maendeleo CHADEMA kimesema hakitashiriki Uchaguzi wa Jimbo la Longido kwa madai kuwa chama Bado Kesi ya Msingi kuhusu jimbo hilo kwenye uchaguzi wa October 25 mwaka 2015 haikusikilizwa. Zaidi unaweza kuplay hii video hapa chini ambapo Katibu wa Kanda ya Kaskazini (CHADEMA) Mh. Amani Golugwa amezungumza Na waandishi wa Habari Kuhusu sakata hilo.

0 Comments:

Post a Comment