JK AKIWAFARIJI WAFIWA KWA BENDERA

Rais mstaafu Jakaya Kikwete akiweka saini kwenye kitabu cha kumbukumbu  kifo cha Mkuu wa Mkoa wa Manyara mstaafu, Dk Joel Bendera leo alipofika nyumbani kwake jikoni Dar es Salaam Kwa ajili ya kuwariji wafiwa

0 Comments:

Post a Comment