![]() |
| Mh. Shabani Mdoe Katibu Mwenezi CCM Mkoa wa Arusha |
Wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) kilifanya uchaguzi wa Mwenyekiti wake Mkoa ambapo alishinda Mh. Loota Sanar dhidi ya Mpinzani wake kwenye uchaguzi huo Lekule Laizer nafasi nyingine nyeti ilikuwa nafasi ya Katibu Mwenezi wa Chama hicho Mkoa wa Arusha. Ambapo ameshinda Mh. Shabani Mdoe ambaye alikuwa akitetea kiti chake hicho.
Baada ya Kushinda Nafasi hiyo kwa Mara nyingine Mdoe akafunguka mengi ikiwemo nia ya chama hicho kushinda katika uchaguzi wa marudio katika jimbo la Longido na kata ya Kimandolu.
Mdoe kazungumza Live kwenye hii video Play Umsikie.

0 Comments:
Post a Comment