KINABO: .. Lazima Niwatetee jamani Hali ya maisha Ni ngumu...


 Diwani wa kata ya Themi Mh. Melance Kinabo (CHADEMA) amewashangaa Wahandisi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Baada ya hatua iliyo chukuliwa na Halmashauri hiyo ya kuubomoa Ukuta wa Shule ya Msingi Themi. Kinabo Amedai Ukuta huo ulipimwa na wakandarasi wa Halmashauri hiyo hiyo. 

Ambapo pamoja na mengine katika kikao cha mwaka cha wazazi na kamati ya shule hiyo Kinabo alimtaka Mkuu wa Shule za Msingi Jiji la Arusha Mama EuniceTondi asaidie kupatikana uwezekano wa ukuta huo kujengwa na Halmashauri badala ya kuwachangisha wananchi wa Themi.

Kinabo Ameongeza kuwa wananchi wake wana uwezo na moyo wakuchangisha... Zaidi play Video hapa chini

0 Comments:

Post a Comment