#UPDATES: Hizi Hapa Risasi zilizotumika kwenye shambulio Nyumbani kwa Mbunge Joshua Nasari, Maiti ya Mbwa yaonekana

Awali Tulikupa updates kuhusiana na taarifa za kuvamiwa Nyumba ya Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari, (CHADEMA), 


Sasa tumekuletea hizi picha za risasi zinazodaiwa kutumika katika Shambulio hilo ambalo  Mbwa waliokuwepo Nyumbani hapo waliuawa . 
Nasari amesema yeye na mkewe wamenusurika lililotokea usiku WA  kuamkia leo baada kukimbia ambapo ametoa taarifa kituo cha polisi Usa River.





Mabaki ya baadhi ya risasi zinazodaiwa  zilitumika Kushambulia Nyumbani kwa Mbunge Joshua Nasari.

Jitihada zetu za kuitafuta Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha japo Simu yetu imekuwa haipokelewi kwa zaidi ya Mara kadhaa 

0 Comments:

Post a Comment