Chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino Jana kilifanya Mahafali take ya kwanza kwa tawi la Arusha ambapo miongoni watu walioalikwa alikuwa mgeni Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha ambaye pia alikuwa Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo.
Mh. Nasha alizungumza Mengi zaidi alisitiza Dhamira ya serikali ya Awamu ya Tank kuhusu sekta ya Elimu. Hapa chini nimekuwa video fupi Mh. Nasha akizungumza.

0 Comments:
Post a Comment