FUATILIA LISSU AKIELEKEA UBELGIJI KWA MATIBABU

Mbunge WA Singida Mashariki, Tundu Lissu leo asubuhi ameelekea nchini Ubelgiji Kwa matibabu zaidi.
Lissu akitoka hospitali ya Nairobi, alikokuwa akipatiwa matibabu tokea mwezi septemba mwaka Jana alipojeruhiwa. Kushoto kwake ni watoto wake  mapacha na nyuma yao ni mke wake, Alicia pamoja na wauguzi na viongozi mbalimbali wa chama cha Demokrasia na  Maendeleo, ((CHADEMA) ndugu jamaa na  marafiki walijitokeza kimsindikiza.




Lissu ameondokea uwanja wa ndege wa kimataifa Kenyatta

0 Comments:

Post a Comment