MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu aliendelea na matibabu kwenye hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven nchi Ubelgiji.
Lissu alikuwa ametokea bungeni wakati wakati wa mapumziko ya mchana ambapo mara baada ya kushambuliwa alikimbizwa kwa matibabu hospitali ya mkoa ya Dodoma alipopatiwa huduma ya kwanza kishakusafirishwa Kwa ndege maalum ya kubeba wagonjwa mpaka Nairobi alipopatiwa matibabu Kwa zaidi ya miezi mitatu.
Tutaendelea kuwajuza maendeleo ya afya yake endelea kutembelea ukurasa wetu mara kwa mara


0 Comments:
Post a Comment