LEMA-, AFRIKA KUNA MATENDO YA KIBAGUZI KULIKO MANENO YA TRUMP

Wakati Mataifa ya Afrika yakipinga na kukemea kauli za kibaguzi zilizotolewa na Rais WA Marekani, Donald Trump, alidai nchi za Afrika ni shimo chafu 'shit hole countries', mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, ameshangazwa na nguvu inayotumika kulinganisha kauli hiyo.

Amesema kuwa mataifa ya Afrika yanaongoza kwa matendo mabaya ya kibaguzi na unyanyasaji aliyodai kuwa yanafanywa na watawala.




0 Comments:

Post a Comment