LISSU AELEZA SABABU YA KUSHAMBULIWA KWA RISASI

Mbunge wa Singida Mashariki nchini Tanzania Tundu Lissu ametaja tukio la kushambuliwa kwa risasi miezi minne iliyopita kuwa ni jaribio la mauaji lililosababishwa na hatua yake ya kuikosoa serikali ya rais John Magufuli.

0 Comments:

Post a Comment