KIGWANGALA ATOA SIKU 30 KWA WAVAMIZI ARDHI NJIRO KUHAKIKI NYARAKA




WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangala, ametoa siku 30 Kwa wakazi wa Njiro jijini Arusha wanaodai  kuvamia kiwanja no 4091 Mali ya Shirika la Utalii nchini, (TTC), kuwasilisha nyaraka zao umiliki kwa kamishina wa Ardhi kwa uhakiki.


0 Comments:

Post a Comment