JESHI la polisi Mkoani Arusha linawashikilia watu Saba Kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano kwenye mitandao ya jamii ya telegram na what'sapp.
Kaimu kamanda wa polisi Mkoani Arusha, Yusuf Ilembo amewaelekeza waandishi wa habari ofisini kwake Leo kuwa miongoni mwa waliokamatwa yupo mwanamke mmoja na wanafunzi watatu ingawa hakuwa tayari kutaja majina yao Kwa kile alichoeleza kuwa ni sababu za kiuchunguzi.
Taarifa yake aliyoisoma hii hapa chini 👇


0 Comments:
Post a Comment