WASANII mbalimbali wakiwa wamenipita leo Leaders club Kwa ajili ya kumuaga video queen Agnes Gerald 'Masogange' .
Masogange alifariki dunia Ijumaa April 20, mwaka huu saa 10 jioni kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya ‘pneumonia.
Designed by Arusha Publicity | Developed by Gadiola Emanuel
0 Comments:
Post a Comment