" Mimi na wezangu tumechukuliwa hatua na kamati kuu, niwahakikishe, tutabaki kuwa wana Chadema kindakindaki. Dhamira ya kuondoka Chadema haipo. Pamoja na changamoto tunayopitia, Halima mnayemfahamu miaka yote, ni yuleyule na nikisema Halima na timu yangu yote" Halima Mdee
"Mimi Halima Mdee, sijawahi kununuliwka na sitanunuliwa na sitarajii kununuliwa. Watu wanaofanya kazi na mimi, iwe kwenye chama kwa miaka 16, iwe bungeni kwa miaka 15, wanajua taja watu watatu ambao rushwa kwao ni mwiko, nawezekana nikawa wa kwanza ".
" Wanasema Mdee na wenzake, mimi nakubali kupigwa mawe yote, lakini niwahakikishie wana Chadema, kama nimepewa hela na rushwa haina siri na hakuna yoyote na kama kuna mambo yalitokea, yalikuwa na dhamira njema kabisa- Halima Mdee
"Mimi ni mhanga kweli kweli wa siasa za mageuzi, nitakuwa mwendawazimu jana nimesema, uchaguzi ulikuwa hivi, halafu nije nikubaliane na haya. Haya tunayopitia ni changamoto za kisiasa tu,".alima
" Leo nilivyoamuka asubuhi, nikamwambia mama yangu, nikamwambia niambie neno moja, mama yangu akasema nikasome Zaburi ya 35 ,".
"Tuliitwa kuhudhuria Kamati Kuu Nov 25, Mimi nilipata barua jioni kwa njia ya simu, Matiko hakupata wengine kila Mtu alipata kwa muda wake,Nov 26 tulimuandikia barua Katibu Mkuu tukimuomba asogeze kikao mbele japo kwa Wiki moja, kutokana na ile presha”- Mdee
[01/12 10:29] Boss: Tulitaka twende kwenye kikao huku hasira zetu zikiwa zimepungua kidogo maana press ya Katibu aliongea mazito, tukaomba Wiki moja mbele, pili kulikuwa na uhamasishaji wa Watu kuja kutupiga mawe na mayai viza wakidai ni Wasaliti ndio maana tuliomba muda”-Mdee
“Hatukudharau kikao, tuliomba tu Wiki moja mbele, Mbowe amenijenga Mimi, ametujenga, inawezekana kuna Vijana wana ya kwao lakini kuna Viongozi tunawaheshimu sana kwasababu wana mchango mkubwa wa sisi kuwa hapa, lakini hatimaye tumevuliwa Uanachama” -Mdee
" Sisi tumefukuzwa ila tutakuwa Wanachama wa hiyari, ndio maana tumevaa gwanda za CHADEMA, mamlaka za rufaa zipo Baraza Kuu, jana jioni tumepata barua ya taarifa ya uamuzi, mchakato wetu wa rufaa tutaanza kuutafakari ili tuangalie namna ya kutatua tatizo” -Mdee
“Tunaipenda CHADEMA, tunaiheshimu CHADEMA, hatutoondoka CHADEMA, tutabaki Wanachama wa hiyari mpaka tutakapomaliza mchakato wa ndani ya Chama wa kumaliza matatizo yetu, naamini tutayajenga ndani kwetu, leo sizungumzi nje na kuongeza matatizo” -Mdee
“Tuna dhamira za kuchukua hatua za Kikatiba ndani ya Chama chetu na hatua nyingine kwa kadri ambavyo tutaona zina afya kwa pande zote mbili, na kwakweli nimetukanwa sana na hili limenisadia kujua Marafiki wa kweli na wale ambao walikuwa wananisikilizia” -Mdee
Suala kuhudhuria Kamati Kuu Nov 25, Mimi nilipata barua jioni kwa njia ya simu, Matiko hakupata wengine kila Mtu alipata kwa muda wake,Nov 26 tulimuandikia barua Katibu Mkuu tukimuomba asogeze kikao mbele japo kwa Wiki moja, kutokana na ile presha”- MDEE
Tulitaka twende kwenye kikao huku hasira zetu zikiwa zimepungua kidogo maana press ya Katibu aliongea mazito, tukaomba Wiki moja mbele, pili kulikuwa na uhamasishaji wa Watu kuja kutupiga mawe na mayai viza wakidai ni Wasaliti ndio maana tuliomba muda”
“Hatukudharau kikao, tuliomba tu Wiki moja mbele, Mbowe amenijenga Mimi, ametujenga, inawezekana kuna Vijana wana ya kwao lakini kuna Viongozi tunawaheshimu sana kwasababu wana mchango mkubwa wa sisi kuwa hapa, lakini hatimaye tumevuliwa Uanachama” -
Sisi tumefukuzwa ila tutakuwa Wanachama wa hiyari, ndio maana tumevaa gwanda za CHADEMA, mamlaka za rufaa zipo Baraza Kuu, jana jioni tumepata barua ya taarifa ya uamuzi, mchakato wetu wa rufaa tutaanza kuutafakari ili tuangalie namna ya kutatua tatizo”
“Tunaipenda CHADEMA, tunaiheshimu CHADEMA, hatutoondoka CHADEMA, tutabaki Wanachama wa hiyari mpaka tutakapomaliza mchakato wa ndani ya Chama wa kumaliza matatizo yetu, naamini tutayajenga ndani kwetu, leo sizungumzi nje na kuongeza matatizo”
“Tuna dhamira za kuchukua hatua za Kikatiba ndani ya Chama chetu na hatua nyingine kwa kadri ambavyo tutaona zina afya kwa pande zote mbili, na kwakweli nimetukanwa sana na hili limenisadia kujua Marafiki wa kweli na wale ambao walikuwa wananisikilizia”
"Tunakwenda kukata rufaa Baraza Kuu. Tutakwenda kwani kwa sasa hasira zimepungua kila mmoja amecheua hasira na uamuzi utakaofanyika utakuwa sawa," Mdee
"Nani alitutuma bungeni, nisema vitu vyote vinavyohusika na kutufikisha hapa, sitazungumza, ndio msingi wa kukataa rufaa yetu na sisi kwa sasa tutaendelea kuwa wanachama wa hiari na tukiitwa vikaoni, tutakwenda kama raia," Mdee
" Siwezi kuzungumzia suala la mfumo dume Chadema kwani Halima Mdee yuko hapa kwa sababu alijengwa kuanzia ngazi ya chini, siwezi kusema kuna mfumo ndume Chadema, katika ujenzi wowote wa taasisi kuna changamoto zake," Halima


Imejirudia bhana...
ReplyDelete