-Ameanza kwa kulaumu mganyiko uliopo
katika bunge la katiba
Mtangazaji:ameulizwa kama kero za
muungano haziwezi kutatuliwa bila kubadili
muundo muungano?
Warioba :ameulizwa kama kero za muungano
haziwezi kutatuliwa bila kubadili muundo
muungano?kati ya watu laki tatu sitini elfu
walizungumzia muungano
Zanzibar asilimia 34 walisema wanataka s2 na
asilimia 60 walisema wanataka serekali ya
mkataba
Warioba amejibu walipokuwa wanakusanya
maoni wananchi wanalikuwa wanania ya
kutatua kero lakin jinsi ya kuatatua hizi kero
njia pekee ni kubadili muundo wa muungano
mfano alienda bungeni aliwambia tanganyika
kuavaa koti la muungano
Mtangazaji: unalizungumziaje watu kusema
umemsaliti mwalimu:
Warioba :hao wanaosema hivyo ndio
wamemsaliti mwalimu mfano wakati wa
mwalimu mizinga ilipigwa kwa rais mmoja
lakin sasa maraisi mawili pili mambo ya
muungano yameondolewa na anaulika kama
mwalimu angetoka je angesema nani
amemsaliti pia amesema je wanatenda kama
mwalimu alivyokwa anatenda
Mtangazaji: ukisema shirikisho inakuwa ni
ukakasi kwa nn?
Warioba :shiriksho zinaungana moja na mbili
tuanapata moja na mbili halafu ya shirikisho
kwa mfano EAC ndo tunaendelea huko
anasema zanzibar imekuwa mwaminifu kwa
nn tanganyika isewezekane ni uuga tu
Mtangazaji vip kuhusu dhana ya jeshi
kuchukua nchi?
Warioba anaanza kusema alikuwa kwenye
uzinguzi wa ripoti ya twaweza alisema askari
walikuwa kwenye hali mbaya lakin walikuwa
kwenye uzalendo ,anasema kwa kuwa watu
wanataka serikali mbili ndo watu wawatishe
wanainchi? anasema mbya zaidi mtu anaenda
kuhubiri kanisani na anasema kama kuna
taasisi zenye uzaendo ni jeshi na walikuwa
kwenye hali ngumu na walikuwa wazalendo
pia anasema unajenga fikra mbya kwa
wananchi waanze kufikiria vibaya
mtangazaji anahoji watu wanasema maoni ya
mabaraza yamechakachukuliwa?
Warioba .anajibu walitaka maoni halisi ya
watu sio watu waliotumwa na misimamo yao
na anasema kuna watu walizunguka kupiga
debe watu wazungumze muundo fulani ndo
maana hawakuyajali
0 Comments:
Post a Comment