MSIKILIZE LEMA AKIWASHUKIA TAKUKURU NA SERIKALI BAADA YA MNYETI KUKIRI KUNUNUA MADIWANI

Mbunge wa Arusha Mjini Godbless LEMA, (CHADEMA) ametoa msimamo wake baada ya mkuu wa wilaya ya Arumeru, Alexander Mnyeti kukiri kuwanunua madiwani sita wa CHADEMA jimbo la Arumeru Mashariki na kuwa bado serikali inafedha za kutosha kuwanunua madiwani 20 waliobaki na mbunge Joshua Nassari




0 Comments:

Post a Comment