MNYETI NA DC WA HAI WAULA



Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa
Mkoa wa Manyara -  Alexandar Pastor Mnyeti (Alikuwa DC wa Arumeru)

Mkoa wa Rukwa_ Joachim Leonard Wangabo (alikuwa DC wa Nanyumbu)

Mkoa wa Geita -  Robert Gabriel Lughumbi (alikuwa DC wa Korogwe)

Mkoa wa Mara - Adam Kigoba Ally Malima (aliwahi kuwa kwenye baraza la mawaziri awamu ya nne)

Mkoa wa Dodoma -  Christine Solomoni Mndeme (alikuwa DC wa Dodoma Mjini)

Mkuu wa Mtwara - Gelasius Gasper Byakanwa (alikuwa DC wa Hai)

Uteuzi wa Mabalozi
Dr. Aziz P. Mlima - Amekuwa Balozi (alikuwa Katibu Mkuu wizara mambo ya nje)

IGP Mtaafu Ernest Mangu - Amekuwa Balozi

Hawa Vituo vyao vya kazi vitatangazwa

Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu wao
Ofisi ya Rais Ikulu - Katibu Mkuu Alifayo Kidata

Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na utawala Bora - Katibu Mkuu Dr. Lawrian Ndumbaro
> Naibu Katibu Mkuu - Bi. Dorothy Mwaluko

Ofisi ya Rais TAMISEMI - Katibu Mkuu Eng. Mussa Iyombe
> Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Afya) - Zainabu Chaula
> Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Elimu) - Dickson Nzunda

0 Comments:

Post a Comment