
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mkuu wa mkoa mstaafu Mzee Abbas kandoro amefariki dunia Ijumaa Aprili 27,2018 saa tatu usiku katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es salaam alikolazwa kwa ajili ya matibabu.

Designed by Arusha Publicity | Developed by Gadiola Emanuel
0 Comments:
Post a Comment